Jarida La Ujasusi - Toleo La 26: [SOMA BURE] Uchambuzi Kuhusu Chadema "Kuipiga Bao" Tume Ya Uchaguzi Sambamba Na Kueleza Bayana Kuwa WATAINGIA BARABARANI Endapo Matokeo Ya Uchaguzi Mkuu Yatachakachuliwa
Kabla ya kuingia kwenye mada naomba kuomba radhi kutokana na jarida hili kutokuwa hewani kwa takriban wiki 3 hivi. Hii ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
Pia naomba kuahidi kuwa nitawatumia mwendelezo wa Kozi Ya Udukuzi wa Maadili kwa Lugha Ya Kiswahili katika wiki inayoanza kesho.
Twende kwenye mada. Jana nilitwiti
K…
Keep reading with a 7-day free trial
Subscribe to Ujasusi Blog to keep reading this post and get 7 days of free access to the full post archives.