Jarida La Ujasusi - Toleo la 24: [Soma Bure] Tathmini Ya Kijasusi Ya Mwelekeo Wa Uchaguzi Hususan Kama Lissu Aweza Kweli Kushinda Urais
Utangulizi:
Zimesalia siku 50 kabla Watanzania hawajapiga kura kumchagua Rais wa serikali ya Awamu ya Sita hapo Oktoba 28 mwaka huu. Kadhalika, leo ni wiki ya pili kamili tangu kuanza rasmi kwa kampeni za urais, ubunge na udiwani hapo Agosti 26.
Walengwa:
Walengwa wakuu katika tathmini hii ni kama ifuatavyo
👉John Magufuli na chama chake cha CCM
👉Tundu Li…
Keep reading with a 7-day free trial
Subscribe to Ujasusi Blog to keep reading this post and get 7 days of free access to the full post archives.