Jarida La Ujasusi - Toleo La 14: [Soma Bure] Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu #TunduLissu Kurudi Tanzania, Na Mpango wa Bashite Kumdhuru Mwanasiasa Huyo
Utangulizi:
Hatimaye jana Julai 27 ya mwaka huu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu alirejea Tanzania baada ya kuwa nje ya nchi kwa talriban miaka mitatu. Mwanasiasa huyo machachari, alilazimika kwenda nje kwa ajili ya matibabu kufatia jaribio la kuuawa kwake lililotokea Septemba 7 mwaka 2017. Katika tukio hilo la kinyama, Lissu alimwagiwa “mvua …
Keep reading with a 7-day free trial
Subscribe to Ujasusi Blog to keep reading this post and get 7 days of free access to the full post archives.